Wekampa
Bad Breath Spray
Bad Breath Spray
Regular price
Ush 97,000 UGX
Regular price
Ush 120,000 UGX
Sale price
Ush 97,000 UGX
Unit price
per
Couldn't load pickup availability
ONDOA HARUFU MBAYA KINYWANI
DODOSHA MATONE TU MDOMONI
Tunakuletea Dawa ya Matone inayoondoa harufu mbaya kinywani. Matone matatu tu yanaweza kukata harufu mbaya kinywani mwako na kuacha harufu nzuri itakayomvutia kila mmoja utayezungumza nae au kukaribiana nae. Huna haja ya kuhofia tena unapokaribiana na mwenza wako. Dawa yetu ya Breatify ni ngao yako ya kujiamini.
ASILIA 100%
Breatify imetengenezwa kwa mimea asilia ili kulinda na kuimarisha afya yako ya kinywa. Haina madhara ya kikemikali na haiachi ladha mbaya kwenye ulimi. Imetengenezwa na mimea ifuatayo:
Karafuu
Karafuu hukata harufu mbaya ya Kinywa na kuchochea pumzi isiyoathiriwa na uchafu uliopo mdomoni. Harufu ya Karafuu hufanya Kinywa chako kinukie manukato wakati wote.
Mkaratusi
Huzuia uzalishaji wa bakteria na vijidudu hatarishi kinywani, huondoa harufu mbaya kinywani
Limao
Limao lina faida kubwa katika kuondoa na kuua vijidudu visivyofaa mdomoni, utumiaji wa kiungo hiki mara kwa mara huondoa harufu moja kwa moja bila kujirudia
Mafuta ya Mint
Mint (mnanaa) huleta harufu nzuri mdomoni,na kusawazisha kiwango cha bakteria.
RAHISI KUTUMIA
Ni rahisi sana kutumia. Dodosha matone matatu tu mdomoni kisha sukutua kwa ulimi na mate kwa sekunde angalau 30 kisha tema na kusafisha mdomo kwa maji safi. Hakikisha haumezi matone ya Breatify.
RAHISI KUBEBA
Kichupa cha Breatify ni kidogo na chepesi. Hivyo una uhakika wa kutembea nacho wakati wowote na popote pale. Weka mfukoni, kwenye mkoba au begi na ujiamini kila unapofungua mdomo.
JINSI YA KUAGIZA
Bofya kitufe cha KUAGIZA na fuata maelekezo. Utaletewa bidhaa mpaka ulipo na utalipia baada ya kuhakiki bidhaa. Anza leo kunukia vyema kila unapofungua kinywa na pumzi yako imvutie unayehusiana naye kwa kutumia bidhaa yetu maridhawa inayopatikana popote Tanzania.


